Kosa si Kosa
Roll over image to zoom in
KSh450.00
Lullu Katanga, mwanafunzi wa uanasheria, anajikuta korokoroni kwa mara ya kwanza.Ilikuwaje akajipata humo? Akipatikana na hatia, atahukumiwa kifungo bila dhamana. Shahidi wa pekee anayeweza kumsaidia ni mshiriki ambaye ana hatia chungu nzima. Je, shahidi huyu ataweza kumsaidia kusalimika na kifungo bila mwenyewe kuonekana mkosa?Mwandishi wa tamthilia hii, Kosa si Kosa?, anauliza iwapo kuna haja ya kutafakari upya kuhusu jinsi ya kutatua matatizo; ni kweli kuwa kosa likirudiwa ndiyo kosa? Au kosa la kwanza si kosa?
Reviews
There are no reviews yet.